“Nitamshangaa CDF hapa aende Busega kwa Chegeni akawe Mbunge akitegemea nitamchagua kuwa Waziri wa Ulinzi, ndiyo maana ninasema ni kuridhika hamuwezi mkawa na kila kitu, lakini demokrasia ipo huru kama una uhakika ukienda kule utashinda basi nenda”
The post Rais Magufuli: Nitashangaa CDF aende Busega akagombee Ubunge akitegemea nitampa Uwaziri (+Video) appeared first on Bongo5.com.