“RPC yuko hapa IGP na TAKUKURU mkawaonye watendaji wenu walioko Arusha mkafanye kazi niliowatuma na leo ilikuwa niwatoe RPC na Mkuu wa TAKUKURU Arusha, nimeamua kuwasamehe lakini sijawasamehe moja kwa moja wakifanya kosa lolote wataondoka”
The post Rais Magufuli: Nilitaka niwatoe RPC na Mkuu wa TAKUKURU Arusha nimewasamehe, wakifanya kosa lolote nawatoa (+Video) appeared first on Bongo5.com.