Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amelivunja rasmi Bunge la 11 hii leo mara baada ya kulihutubia.

”Mhe Spika baada ya kusema hayo, sasa natamka kuwa Bunge hili linavunjwa rasmi na tarehe itatangazwa rasmi kwenye gazeti la serikali, niwatakie mafanikio mema,” Rais Magufuli

The post Rais Magufuli : Natamka kuwa Bunge hili linavunjwa rasmi (+Video) appeared first on Bongo5.com.