“Nimeona viongozi hawa wapumzike kwanza kama kubishana wakabishanie huko huko uraiani ndani ya Serikali hapana liwe fundisho mvumiliane, kama kubishana na kugombana kagombane na mkeo na watoto wako ndani ya Serikali hapana tuzingatie sheria na maadili na viapo”

The post Rais Magufuli: Mkitaka kugombana kagombane nyumbani kwako ila sio kwenye Serikali yangu (+Video) appeared first on Bongo5.com.