“Mkuu wa Mkoa Arusha ukasimamie migogoro, kuna migogoro mingine inatengenezwa makusudi, kaisimamie vizuri, mfano kulikuwa na mgogoro pale wa kanisa na shule kuna maamuzi hayakuwa ya kweli, nikawaambia wakitaka eneo wajenge ghorofa,Jiji haliwezi kuingia gharama kutafuta eneo”“Natoa wito kwa Viongozi ninaowateua kujifunza kuridhika na nafasi walizonazo, huwezi ukawa na kila kitu, lakini Demokrasia iko huru siwazuii kwenda kugombea kama unaamua kwenda kugombea uongozi nenda tu”

The post Rais Magufuli: Migogoro ya Arusha ilitengenezwa makusudi, Mfano migogoro ya Kanisa na Shule pia Msikiti (+Video) appeared first on Bongo5.com.