Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Juni, 2020 atalihutubia na kulifunga Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia 4:00 asubuhi hii. Matangazo yatarushwa Mubashara na Redio, TV na Mitandao.