“Kafanyeni kazi na mkaridhike na mlichonacho, shida kubwa ya Vijana wengine ukiwapa nafasi wana shida ya kutoridhika na nafasi walizonazo, bila kuelewa kuna miaka mingi, nitamshangaa leo IGP akienda Bunda akaenda kugombea akitegemea nitamteua kuwa Waziri”

The post Rais Magufuli: “Kafanyeni kazi na mkaridhike na mlichonacho, shida kubwa ya Vijana hawaridhiki na nafasi walizonazo (+Video) appeared first on Bongo5.com.