"Tutaweka sheria ya kuruhusu na kulazimisha shule zote za Kata Tanzania ziunganishwe na mkongo wa Taifa ya kuruhusu Data (bando) ziwepo katika shule za Kata (Msingi na Sekondari) ili iwasaidie walimu na wanafunzi katika kuwa na uwezo sio tu wakujifunza TEHAMA lakini vilevile wana uwezo wa kufikia library zilizopo katika Mitandao, itamfanya mtoto wa kijijini na mijini kufanana" Lazaro Nyalandu, Mtia Nia URAIS, CHADEMA