Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alphayo Kidata (kushoto) akipokea vifaa mbali mbali kwa ajili yakujikinga dhidi ya janga la Corona kutoka kwa Kaimu Meneja wa tawi la NMB Mtwara Rosemary Moshi, ikiwa ni sehemu ya misaada inayotolewa na benki hiyo nchi nzima.
The post NMB Picha ya siku : Mtwara – Benki ya NMB yakabidhi vifaa mbalimbali kwa ajili yakujikinga dhidi ya janga la Corona appeared first on Bongo5.com.