Msanii wa muziki Nandy amefunguka kuuzungumzia wimbo wake mpya Acha Lizame muda mchache baada ya After Release Party ambayo imefanyika katika kiota cha burudani cha Elements na kuhushuriwa na mastaa kibao.

Nandy amesema wimbo wake huo mpya imekuwa na impact kubwa ndani ya muda mfupi.

Pia amezungumza namna alivyofanya kolabo yake hiyo na Harmonize ambaye kwa sasa anafanya vizuri.

Kuangalia matukio yote tembelea YouTube ya Bongo5

The post Nandy atangaza neema nyingine baada ya Acha Lizame na Harmonize (Video) appeared first on Bongo5.com.