Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa  TAKUKURU Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani imempandisha mahakamani muuguzi wa Hospital ya Wilaya ya Mkuranga, Steven Charles Mlalu akituhumiwa kuomba na kupokea rushwa kwa mgonjwa na kumchelewesha kupata huduma ya dharula ya kujifungua.

By Hamza Fumo

The post Muuguzi matatani kwa kumuomba rushwa Mjamzito, adaiwa kumsababishia maumivu makali (+Video) appeared first on Bongo5.com.