Baada ya Mbunge wa Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Job Ndugai kutoa taarifa kuwa Mh. Mbowe ambaye alidaiwa kuvamiwa na watu watatu na kuvunjwa mguu kuwa alituma madaktari wake kumpima Mbowe Hospitalini na kukutwa alilewa chakari.
Mbunge wa Geita Joseph Kasheku Musukuma ameomba Mh. Freeman Mbowe arudishwe Dodoma yeye atamjibu kienyeji na kudai kwamba asipopona ndani ya siku 3 avuliwe Ubunge wake.
Mbali na hilo Musukuma ameongeza kuwa Mbowe aikunywa pombe aina ya Faru John na watu aliokuwa nao anawafahamu.
The post Mhe.Musukuma “Mbowe alikunywa faru John, Arudishwe nimtibu kienyeji asipopona nivuliwe Ubunge” – Video appeared first on Bongo5.com.