CHADEMA imesema kuwa mwenyekiti wa chama hicho na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe amekimbizwa hospitali jijini Dodoma baada ya kushambuliwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake.

Baadhi ya Wabunge wakiwa hospital Dodoma kufuatilia hatma ya Mh. Freeman Mbowe alieshambuliwa na kuumizwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.

Written and edited by @yasiningitu

The post Mhe Mbowe ashambuliwa na kuumizwa na watu wasiojulikana Dodoma appeared first on Bongo5.com.