Tangu Mhe Kinana aombe radhi, nimepokea messages nyingi sana za kutaka kujua msimamo wangu: Mtu anaomba radhi kama; i) amemkosea mtu au watu. ii) mtu huyo ni mhalifu.iii) mtu huyo ni mwoga na hajiamini au iv) amekuwa "blackmailed." Sihusiki na hayo yote na hivyo SITAOMBA RADHI!
— Bernard K. Membe (@BenMembe) June 6, 2020