Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake Areaa D jijijini Dodoma.

Chadema imethibitisha na kusema amekimbizwa hospitali na anapatiwa matibabu.