Shirika la Kimataifa la World Vision Tanzania linautaarifu Umma kuhusu uwepo wa Matangazo bandia ya ajira kwa niaba ya Shirika hilo,ambayo yanasambazwa mitandaoni, Shirika linautaarifu Umma kuwa halitumii watu binafsi ama mawakala kama hao katika kutangaza kazi zao
#EpukaMatapeli

The post Matapeli wa ajira wanaotumia World Vision wanaonywa appeared first on Bongo5.com.