Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Vicent Mashinji amemrushia kijembe kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe.

Mashinji ambaye hivi karibuni alikihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Aliandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter “Kuteleza na kuanguka ni kitu cha kawaida kutokea dunia. So kuvunjika tu wengine hata wamepoteza maisha,”

Akiongezea “Tujitahidi kuwa makink tunapopanda ngazi hata kama ni mbili tu! NsumbaNtale,”