Mchambuzi wa soka na anayekuja kwa kasi nchini, Abbas Pira amezungumzia sababu zilizopelekea Mabingwa watetezi wa Ligi kuu soka Tanzania Bara kuanza mchezo wao wa kwanza kwa sare dhidi ya vijana wa Masau Bwire Ruvu Shooting

The post Mapungufu ya kikosi cha Simba kwa sasa haya hapa (+Video) appeared first on Bongo5.com.