Kwa Mujibu Wa jaridala @Billboard Hawa ndio Wasanii 15 wakubwa kwa upande wa kusini mwa Jangwa la Sahara wanaoangaliwa Zaidi Kimataifa/Duniani Kupitia Mtandao Wa YouTube.

Katika orodha hii imeanzia mwaka 2019 na mwaka huu 2020, Wasanii ambao wanaongoza kwa kufanya vizuri wa kwanza ni @burnaboygram wa pili ni @diamondplatnumz na namba tatu akishikilia @davidoofficial
Ukiangalia katika orodha zote yaani ya mwaka 2019 na 2020 wasanii waliofanikiwa kuingia kutoka Tanzania 🇹🇿 wa kwanza ni @diamondplatnumz wapili ni @harmonize_tz na nambari tatu akiwa ni @rayvanny

 

View this post on Instagram

WASANII 15 WAKUBWA KUSINI MWDA JANGWA LA SAHARA. BURNA BOY, DIAMOND, DAVIDO WAONGOZA. Kwa Mujibu Wa jaridala @Billboard Hawa ndio Wasanii 15 wakubwa kwa upande wa kusini mwa Jangwa la Sahara wanaoangaliwa Zaidi Kimataifa/Duniani Kupitia Mtandao Wa YouTube . Katika orodha hii imeanzia mwaka 2019 na mwaka huu 2020, Wasanii ambao wanaongoza kwa kufanya vizuri wa kwanza ni @burnaboygram wa pili ni @diamondplatnumz na namba tatu akishikilia @davidoofficial Ukiangalia katika orodha zote yaani ya mwaka 2019 na 2020 wasanii waliofanikiwa kuingia kutoka Tanzania 🇹🇿 wa kwanza ni @diamondplatnumz wapili ni @harmonize_tz na nambari tatu akiwa ni @rayvanny (📹 via Raha Scoff) Written by @el_mandle

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

The post Kutoka Billboard wasanii 15 wanaofanya vizuri Youtube, Burna Boy Diamond na Davido waongoza Tanzania wasanii watatu appeared first on Bongo5.com.