Add caption |
Katika orodha hii imeanzia mwaka 2019 na mwaka huu 2020, Wasanii ambao wanaongoza kwa kufanya vizuri wa kwanza ni @burnaboygram wa pili ni @diamondplatnumz na namba tatu akishikilia @davidoofficial
Ukiangalia katika orodha zote yaani ya mwaka 2019 na 2020 wasanii waliofanikiwa kuingia kutoka Tanzania 🇹🇿 wa kwanza ni @diamondplatnumz wapili ni @harmonize_tz na nambari tatu akiwa ni @rayvanny