“Wamekaa wanabishana tu ndiyo maana nimesema wapumzike kwanza na hili liwe fundisho kwa viongozi niliowateua lazima mkajenge element za kuvumiliana kama unataka kubishana nenda kabisheni nyumbani kwako na mke wako” – Rais Magufuli
The post Karibia miaka miwili walikuwa wanagombana tu, kila mmoja ni Bosi – Rais Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com.