“Tuna mbuga zetu ambazo tulizuiwa hata kuwinda wanyama wetu, lakini wao walizigeuza kuwa ni sehemu za uwindaji nikazifuta na kufanya kuwa, Mbuga ya Mwl. Nyerere lengo ni kila Mtanzania anufaike na rasilimali zetu” JPM  leo Dodoma akirudisha fomu ya kugombea urais.

 

The post JPM: Tulizuiwa kuwinda wanyama wetu, walizigeuza ni sehemu zao za uwindaji nikazifuta kuwa, Mbuga ya Mwl. Nyerere (+Video) appeared first on Bongo5.com.