“Jana nimetoka Kilosa nimefika saa 2 usiku na nimelala masaa matatu tu na nimelala peke yangu, lakini kikubwa mimi ninawashukuru sana kwa wale wana CCM watakaojitokeza kugombea nafasi mbalimbali kuanzia kesho ni ruksa kupitapita katika maeneo.

The post JPM: Jana nimetoka Kilosa nimefika saa 2 usiku na nimelala masaa matatu tu na nimelala peke yangu (+Video) appeared first on Bongo5.com.