Harmonize na Nandy wametoa burudani kwa mashabiki wao katika kiota cha burudani cha Elements ikiwa ni muda mchache toka waachie wimbo Acha Lizame.

Muimbaji ambaye pia ni rais wa Konde Gangs ameonekana kufanya vizuri kupitia wimbo huo alioshirikishwa na African Princess.

The post Harmonize -Siku hizi siimbi sana wanashindana na Ibrah (Video) appeared first on Bongo5.com.