Kuna makala niliwahi Soma mahali ikisema Ali Kiba Anatembea nyota ya huruma ya Mashabiki zake lakini yeye hawaonei huruma mashabiki zake....ni ukweli usipingika kwamba nguvu anayoweka Ali Kiba kwenye muziki wake ni ndogo kuliko inavyopaswa....Kama angekuwa anaweka nguvu hata Diamond asingemkuta, kwa sasa kipimo kidogo tu hata aliyekuwa Mwanamuziki wa Label ya WCB Harmonize amempita followers na Viewes huko You Tube Kama Picha ya Juu inavyoonyesha