Dakika ya 77 Nchimbi anatoka anaingia Makame Dakika ya 75 Chilunda anapiga faulo baada ya Mudhathir kuchezewa rafu haizai matunda Dakika ya 70 Simchimba anaingia anatoka Djod Dakika ya 68 Yikpe anafanya jaribio linakwenda nje ya lango Dakika ya 64 Ngasa anaingia anatoka Balama, Yikpe anaingia anatoka Molinga Dakika 60, Idd katoka kaingia Kangwa, Yanga inapata faulo nje kidogo inapigwa na Morrison inaokolewa Dakika ya 51 Morrison anapiga kona inaokolewa Dakika ya 49 Haule anaokoa mashuti mawili ya Yanga Dakika ya 45 Morrison anaingia akichukua nafasi ya Sibomana Kipindi cha pili kimeanza
HT: Yanga 0-0 Azam FC Zinaongezwa dakika 2 Dakika ya 45 zinakamilika hakuna timu iliyoona lango Dakika ya 38 Haule anapewa huduma ya kwanza Dakika ya 33 Idd anapaisha nje kidogo ya 18 Dakika 31 Fei Toto anafanya jaribio haizai matunda Dakika ya 30 Yanga wanapiga kona inaokolewa wanapata kona nyingine dakika ya 31 inaokolewa Dakika ya 24, Metacha Mnata anaokoa mashuti mawili ya Djod ndani ya 18 Dakika ya 21, Molinga anapaisha kichwa angani Dakika ya 20 Sibomana anapiga faulo baada ya Nchimbi kuchezewa na Idd, inaokolewa na Haule Dakika ya 15 Molinga anafanya jaribio linaokolewa na Haule, kipa wa Azam Dakika ya 13 Sibomana anapiga kona ya Kwanza kwa Yanga inaokolewa na Haule Dakika ya 12 Azam FC wanakosa bao ndani ya 18 Dakika ya 10 Kipagwile anapaisha akiwa ndani ya 18, Azam wanapiga kona ya pili haizai matunda Dakika ya 08 Djod anapeleka mashambulizi Yanga Dakika ya 05 Yondani anampa Kaseke Uwanja wa Taifa: Yanga 0-0 Azam FC Kipindi cha kwanza