Chama cha Tanzania Labour Party TLP kimeunda timu ya kuzunguka nchi nzima kuzungumzia miradi iliyotekelezwa na Serikali ya awamu tano chini ya Dkt.John Magufuli kama kuonyesha Juhudi za kuungamkono kwa vitendo kauli ya mkutano mkuu wa chama hicho.

TLP ilishampitisha Rais Magufuli Kuwa mgombea nafasi ya urais na hawatasimamisha mgombea kwenye nafasi ya urais isipokuwa wabunge na madiwani.