Taarifa kutoka chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya Mh. Freeman Mbowe kudaiwa kushambuliwa na watu wasiojulikana zinaeema kuwa.“Mwenyekiti wa chadema Taifa Mh. Freeman Mbowe Amevunjwa mguu wake wa kulia na wavamizi waliomvamia usiku wa kumkia leo Dodoma, RPC Gilles Muroto amethibitisha hilo.” Mpaka hivi sasa haijajulikana Mh.Mbowe alishambuliwa kwa silaha gani ingawa CHADEMA wamesema watatoa taarifa kamili.