BREAKING: Watu nane wamefariki katika ajali Mwanza “lori limegonga”
Rais Magufuli leo Dodoma “Tusimame tutoe heshima zetu kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Nkurunziza, kifo kimetugusa alikuwa Rais kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki, pia tunasimama kwa sababu ya Watu wanane waliofariki baada ya hiace waliyopanda kugongwa na Lori Mwanza”.