Mtanzania Saniniu Laizer amepata mawe makubwa mawili ya Tanzanite ambapo moja lina 9.2kg na thamani yake ni TZS 4.5 Bilioni na jingine lina 5.8kg lenye thamani TZS 3.3 Bilioni na mawe yote yamenunuliwa na Serikali.


VIDEO: