BREAKING NEWS : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Tawala (DAS) wa Wilaya ya Kisarawe Mtela Mwampamba, kwa madai ya kwamba amekuwa akifanya mambo ambayo hayaendani na maadili ya kazi yake ikiwemo tuhuma za kuchukua wake za watu.

The post BREAKING NEWS: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Tawala (DAS) Kisarawe (+Video) appeared first on Bongo5.com.