Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza ujio wa Membe kwenye chama chao ni baada ya  kupeleka barua ya ombi la kujiunga na katika chama hicho.

Tumepokea barua ya ombi la kujiunga chadema toka kwa Mh. Bernard Membe lenye lengo la kuungana nasi kwenye uchaguzi ujao.