Diwani wa kata ya Mwanga Kigoma mjini @officialbabalevo ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kigoma mjini.

@officialbabalevo ametangaza nia akisema kuwa ameona kama Mh. @zittokabwe anautaka Urais hivyo yeye ndiye akatayeridhi mikoba ya @zittokabwe KIGOMA MJINI maana hawataki mamluki.