Yanga yawataka mashabiki wake kuacha tabia ya kuzomea wachezaji wao, huku ikiwasihi wanahabari kutowapa kipaumbele mashabiki wanaotoa kauli zisizofaa dhidi ya klabu hiyo.