Aliyekuwa mtu wa karibu sana na @rayvanny ambaye alikuwa pia Producer anayehusika katika baadhi ya kazi za @rayvanny @rashdonboss ambaye alihusishwa kuwa ndio sababu ya @rayvanny kuachana na mpenzi wake @fahyma19 ameeleza ilivyokuwa.


Mbali na hilo @rashdonboss ambaye alikuwa mtu wa karibu sana @rayvanny amefunguka pia kuhusu habari za kuwa Rayvanny anataka kujiondoa katika lebo ya WCB
Pia tulipata nafasi ya kuzungumzia kwamba msanii mkubwa kama @rayvanny kukosa matangazo yaani kampuni ya kufanya nae kazi ni sawa au kuna namna katika lebo ya WCB kubaniwa na viongozi wao kwa sababu mbali na Diamond hakuna msanii mwenye matangazo.

The post Aliyedaiwa kuharibu mahusiano ya Rayvanny na Fahyma afunguka A-Z, Sakata la Rayvanny kuondoka WCB – Video appeared first on Bongo5.com.