Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa lebo ya Kings Music Alikiba ameweka wazi kuwa kwa sasa yeye hahitaji mashabiki wapya bali ana wafuasi wake wanaomkubali na kuongeza kuwa mashabiki wapya wanakaribishwa.

The post Alikiba – Mimi sihitaji kutafuta mashabiki kwa sasa, Nina wafuasi wangu wanaonikubali (+Video) appeared first on Bongo5.com.