Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva pia CEO wa lebo ya @kingsmusicrecords na hitmaker wangu ngoma ya #DODO, #SOHOT na nyinginezo @officialalikiba ameweza kutaja wasanii wanne ambao watakuja kufanya vizuri baadaye ingawa tayari wanafanya vizuzri @marioo_tz @officialcheed Wakiwemo.
The post Alikiba ataja wasanii wanne anaowatabiria makubwa Tanzania, Cheed aliyeondoka Kings music yupo – Video appeared first on Bongo5.com.