Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya @kingsmusicrecords @officialalikiba ameiachia ule wimbo aliowaahidi mashabiki zake kwa muda.

Kupitia ukurasa wake w Instagrma ameandika hivi.

“Are u ready to dance?? Here’s your Summer Anthem! #SoHot 🔥now Available in all Digital platforms.
Produced by @kimambo_beats
Guitar by @kenny_guitar
Co-written with @tommyflavour
Mastered by @kimambo_beats
#SoHot

 

The post Alikiba akata kiu ya mashabiki wake, Ngoma aliyowaahidi hatimaye ameiachia ‘Sohot’ – Audio appeared first on Bongo5.com.