Baada ya taarifa za kuonekana kwenye jarida kubwa duniani la billboard likimtolea mfano kama msanii ambaye amekuwa mbunifu sana kupitia mtandao wa Youtube kwa kujitangaza Diamond Platnumz.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweza kuandika ujumbe huu ikiwa ni ishara kwamba amezipokea taarifa hizi kwa mikono miwili.

Diamond ameandika hivi:-

just Work hard, Pray hard and Stay positive…. Thats the Secret! 🌍

 

 

The post Alichoandika Diamond Platnumz baada ya kuonekana kwenye jarida la Billboard appeared first on Bongo5.com.