Naona 'Dodo' limeiva na sasa utamu umekolea zaidi na kuwa wa moto 'So Hot' acha tujirambe.

Mwimbaji AliKiba amedokeza ujio wa wimbo wake mpya uitwao "So Hot" tayari ameanza kuutangaza kwenye mitandao yake ya kijamii kwa kuwataka mashabiki zake kuweka oda zao mapema.