Shirika la Afya Duniani WHO limetoa tahadhari kwa nchi ambazo nimeanza kulegeza masharti ya kukaa ndani katika njia za kukabiliana na covid 19.

“WHO tunashauri mambo sita ya kuzingatia kabla ya kukurupuka kuondoa lock down ikiwemo kuhakikisha maambukizi yamepungua, kudhibiti kasi ya Watu kuambukizana, kufuatilia waliokuwa karibu na wagonjwa, kuzuia maambukizi kuingia nchini kwenu kutoka nje, Jamii ipewe elimu ya kutosha kuhusu corona, kupunguza idadi ya vifo nk, kama hivyo havijafanyika, kuondoa lockdown ni kujitafutia matatizo”- Dr.Tedros, Mkurugenzi Mkuu WHO

The post WHO watoa angalizo kwa nchi zinazoondoa lock down ‘ni kujitafutia matatizo’ (Video) appeared first on Bongo5.com.