Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa zoezi la kupulizia dawa ya kuua viuatilifu(fumigation) barabarani au sokoni hakuondoi virusi  vya Corona na badala yake kunahatarisha afya.
 
Taarifa ya WHO imesema, kufanya hivyo hakuwezi kuwa na tija katika kukabiliana virusi vya corona