Maambukizi ya virusi vya Corona nchini Kenya yameongezeka na kufikia 582, baada ya kuthibitishwa maambukizi mapya 47.

Kutokana na idadi ya wagonjwa nchini humo kuendelea kuongezeka, Wakazi wa Eastleigh jijini Nairobi na Old Town Mombasa wamezuiliwa kutoka ndani kwa siku 15