Msanii wa filamu na Miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu amefunguka kuhusu Msanii mwenzake wa Muziki na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Diamond Platnumz, pamoja na Hamissa Mobetto mwanamke ambaye nyota huyo wa Bongo Flave amezaa naye.

Wema amesema kuwa kwa upande wake anakubali kile anachofanya Diamond, na sio kama vile wengine wanavyofikiria ”Nakubali, namsifu na huwa nampongeza.” Akimzungumzia Hamissa Mobetto, Wema amesema kuwa anamfahamu tangu kabla ya wawili hao kuingia katika mahusiano.

The post Wema Sepetu kuhusu Diamond, Hamissa Mobetto ”Kwa nini tuendelee kuwa na Mabifu”(+Video) appeared first on Bongo5.com.