Kwa Meridianbet, muamala wako una thamani kuliko wakati wowote! Ongeza salio kwenye akaunti yako ya Meridianbet.co.tz kwa Airtel Money na upate ushindi mkubwa unapoanza tu kubashiri online kwa kupata 5% ya bonasi kwa kila muamala wa kuweka pesa.

Ukiwa na Meridianbet, ofa hii mpya kabisa inamaanisha sasa unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kwa kupitia Airtel Money. Haijawahi kuwa rahisi hivi na kuweka pesa kunaweza kukamilika kwa kufuata hatua chache tu.

Kuweka pesa kwenye akaunti, Piga *150*60# kisha lipa kwa namba ya kampuni 400700 kwa kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako. Kwenye namba ya kumbukumbu ya malipo, ingiza namba 555 ikifuatiwa na namba yako ya akaunti ya Meridianbet.co.tz (Account ID). Mfano (555117132...).

Ndani ya sekunde chache tu, pesa itakuwa kwenye akaunti yako na utakuwa mbioni kupata USHINDI WAKO MKUBWA! Iwekee pesa timu unayopenda, bashiri kwenye KENO au Lucky Numbers au cheza kasino ya Live Dealer mpya zaidi kutoka Meridianbet. 

Ni rasmi– Meridianbet ni bora zaidi katika kukupa furaha zaidi na burudani kwenye mchezo!
Jisajili leo na uongeze salio kupitia Airtel Money.