Kenya imerekodi visa vingine 23 vya maambukizi ya virusi vya corona na kufanya jumla ya walioambukizwa kufikia 781 

Wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo Ijumaa Mei 15, katibu msimamizi wa maswala ya Afya nchini Kenya  Rashid Aman amesema maambukizi hayo mapya yametokana na sampuli 2,100 zilizofanyiwa vipimo kwa saa 24 zilizopita. 

Amesema  Vifo vimefika 45, Waliopona 284