Wabunge wote wa CHADEMA ambao wamehitimisha siku 14 za kujitenga kwa kukaa nyumbani na kutohudhuria shughuli za Bunge, vikiwemo vikao vya Bunge, ndani ya ukumbi na kamati zake, leo Ijumaa wanatarajiwa kurejea Bungeni baada ya kuwa na uhakika kuwa hawana corona.