Kundi la kwanza ni la wale watakaoendelea kutumia dawa za sasa zinazoendelea kusaidia kufubaza kirusi, kundi la pili ni wale watakaotumia dawa hizi za Madagascar, na kundi la tatu ni wale watakaotumia dawa ya Madagascar kwa kuongezea na ile iliyotengenezwa na NIMR,”- Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Abel Makubi.

The post Viedo: Makundi ya watakaofanyiwa majaribio ya Corona kwa kutumia dawa kutoka Madagascar – Mganga mkuu appeared first on Bongo5.com.