Uongozi wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF, kupitia kwa Katibu wake Mkuu Kidao Wilfred umezungumzia kuhusu Ligi Kuu soka Tanzania Bara mara baada ya kauli ya Mhe. Rais Dkt John Magufuli kufikiria kuirejesha tena.

Kwa upande mwingine TFF utoa ufafanuzi juu ya Bilioni 2 na milioni 300 wanazopata kutoka Shirikisho la mpira duniani FIFA na matumizi yake.

The post Uongozi TFF watoa ufafanuzi wa ligi kuu, mabilioni ya FIFA nchini  (+Video) appeared first on Bongo5.com.