Kwenye usiku wa tuzo hizo pia kutakuwa na hafla ya kusherehekea miaka 40 ya kuanzishwa kwa kituo cha BET (Black Entertainment Television), kulingana na kanuni za kuepusha mikusanyiko, BET wametangaza kuifanya hafla hiyo katika namna ya "Virtually" kama kitaalamu inavyoitwa.
Hii ni namna ambayo itatumia njia za kibunifu za Kiteknolojia pamoja na maudhui ambayo yatatengenezwa na wasanii wenyewe ili kumfanya mtazamaji na hata msanii na wadau wengine wajihisi kama wapo pamoja ukumbini.
Aidha, #BET hadi sasa bado hawajaweka wazi majna ya wasanii washiriki kwenye tuzo hizo za mwaka huu